Description
Product Specifications
Size: 250ml
Product of WFN Naturals
Lightweight and Non Sticky
Non Staining (It will not dirty your sheets)
Promotes relaxation and soothes tension in the muscles
Therapeutic grade aromatic massage oil
Directions for use
Pour a few drops of the massage oil onto your hands and warm the oil by rubbing your hands together before gentling massaging it onto your skin.
Â
Precautions
Do a patch test and discontinue if the product causes any skin irritation. Suitability for use during pregnancy is unknown. Keep out of reach of children and do not ingest.
Storage instructions
Store in a cool and dry place. Keep this product away from direct sunlight.
Swahili
Mafuta yetu ya kusinga mwili huleta utulivu wa misuli kulingana na kuwa na muunganiko wa mafuta muhimu ya aina tatu, mafuta ya Apricot, mafuta ya karafuu pamoja mafuta ya zeituni. Mchanganyiko huu husaidia kutuliza na kuondoa hali ya kuvutwa kwa misuli kunakotokana na mfadhaiko pamoja na mazoezi. Hukuacha ukiwa katika hali ya utulivu na afya zaidi. Mafuta yetu yana harufu nzuri na hayana mchanganyiko wa aina yoyote ya kemikali. Hayanati na wala hayaachi madoa jambo ambalo hufanya mafuta haya kuwa na uwezo wa kusisimua misuli hasa ukichua mwili mzima.
Mizania ya Bidhaa
Ujazo: 250ml
Bidhaa ya WFN Naturals
Ni mepesi na hayanati (hayawezi kuchafua mashuka)
Hutuliza na kulainisha misuli
Mafuta bora yenye harufu mwanana
Jinsi ya Matumizi
Mimina mafuta kidogo kwenye viganja vyako kisha fikicha viganja vyako kuyapa joto kidogo kabla ya kuanza kusinga kwenye ngozi yako.
Tahadhari
Fanya jaribio dogo ili kubaini ikiwa bidhaa hii inaweza kuathiri ngozi yako na uache mara moja ikiwa unaona kuwa yanaweza kuharibu ngozi yako. Ubora wa matumizi yake kipindi cha ujauzito haujajulikana bado. Weka mbali na Watoto na usiingize mdomoni.
Maelezo ya Uhifadhi
Hifadhi mahali pakavu pasipo na unyevu. Usiweke juani.