Description
Product specifications
- Ingredients: Sea moss, Aloe Vera Gel, Shea Butter, Vanilla Oil Extract
- Made with organic Ghanian Shea Butter
- Boosts collagen production
- Has a pleasant fragrance
- Supports skin elasticity
- Keeps the skin hydrated and helps it retain moisture
- Suitable for all skin types
- Long lasting
- Noncomedogenic (does not clog skin pores)
- Can be used on the face or body as per the preference of the user
- All natural ingredients
- Vegan product
- Manufactured by WFN Naturals
- Product Origin: Tanzania
Storage instructions
Store in a cool and dry place
Precautions
Testing the product by applying it to a test spot twice daily for seven days can help you determine whether the product is a good choice for you.
How to use
Apply the lotion on your palm, soften it and then rub it onto your face and body as and when needed.
Swahili
Iron Blend
Madini ya chuma ni muhimu kwa kuwa huchochea uzalishaji wa damu na usafirishaji wa oksijeni mwilini. Iron blend ni mchanganyiko wa kikanuni wa mitishamba uliotengenezwa maalumu kwa ajili ya kuongeza kiwango cha madini ya chuma mwilini na kupambana na tatizo la jumla la upungufu wa madini. Pamoja uwepo wa mimea mingine, Sassarparila ni moja ya viambata muhimu kwenye mchanganyiko huu wa Iron blend na ina utajiri mkubwa wa madini ya chuma ambayo hufyonzwa taratibu na kusaidia mwili kuimarisha kiwango cha madini ya chuma.
Faida za madini ya chuma kiafya
- Kuimarisha kinga ya mwili
- Kusafisha mfumo wa damu na kurahisisha zoezi la usafirishaji na uzalishaji wa damu
- Huimarisha pumzi
- Huondoa tatizo la uchovu
- Huimarisha afya ya akili
- Huondoa sumu kwenye ubongo na mwili
- Inasaidia kuboresha usingizi
- Kwa ngozi na nywele zenye afya
Maelekezo ya Matumizi
Tumia vidonge 2 kwa siku au kadiri ya maelekezo ya mtaalamu wako wa afya. Virutubisho vya asili vinalenga tu kuimarisha mlo. Usizidishe kiwango kinachoshauriwa.
Madhara yanayoweza kutokea
Kiwango kikubwa cha dozi ya mizizi ya Sassarparila kinaweza kusababisha kuumwa tumbo. Wakati mwingine virutubisho vya madini ya chuma vinaweza kusababisha kichefuchefu, kutapika na ama tumbo kujaa gesi
Tahadhari
Haishauriwi kutumiwa na wamama wajawazito. Hakuna tafiti za kutosha kuthibitisha ikiwa haiwezi kutumika pamoja na dawa za kemikali zinazotumiwa na watu wenye matatizo sugu. Watu wote walioko kwenye matibabu ya maradhi sugu wanashauriwa kuwasiliana na wataalamu wao wa afya kabla ya kuamua kutumia bidhaa hii.
Uchanganuzi wa Bidhaa
- Viambata: Mizizi ya Sarsaparilla (Smilax), Red Clover, Mondia Whitei Root, Ginseng
- Vidonge 60
- Nzuri kwa watumiaji wa vyakula vitokanavyo na mimea pekee
- Imetengenezwa kwa kutumia vidonge vitokanavyo na mimea
- Imevunwa kistaarabu
- Imetengenezwa na WFN Naturals