Description
Product specifications
- Additive Free
- Preservative Free
- Intact Pollens
- Unpasteurized
- Unfiltered
- Packed and bottled by WFN Naturals
- Packaging: Glass Jar
- Sourced far from sources of pollution
- Short supply chain
- 100% natural product
- Rigorously tested
Storage instructions
Store in a cool and dry place and away from sources of heat
Swahili
Furahia, Burudika na harufu nzuri pamoja na Ladha nzuri kabisa ya asali mbichi
kutoka kwetu. Asali yetu imevunwa na kupakiwa kwa njia ya asili bila
kuchemshwa na inatengenezwa na chavua pamoja na maji maji matamu ya
kwenye maua yanayochanua kwenye miti kipindi cha majira ya mvua. Asali yetu
ni nzito na nyeusi kutokana aina na miti ambayo nyuki wetu hutumia
kutengeneza asali. Kwa kiasi kikubwa asali yetu ni asali ya Miombo ingawa
inaweza kubadilika kila wakati kulingana na mahali na kipindi asali yetu
imevunwa.
Asali mbichi ni chaguo namba moja kwenye kuongeza ladha ya chai tiba, jeli ya
mwani, na hata uji wa ngano nyeusi.
Sifa za Bidhaa
Haijachanganywa na kitu chochote
Haina kihifadhi
Inatokana na uchavushaji
Haikuchujwa
Haijachemswa
Imefungashwa na kupakiwa na WFN Naturals
Vifungashio: Chupa za kioo
Inavunwa katika mazingira yasiyo na uchafuzi wa hewa.
Ya asili kwa 100%
Imefanyiwa uchunguzi
Inatokea mikononi mwetu kwenda kwa walaji
Jinsi ya Kuhifadhi
Hifadhi mahali pasipo na unyevu na hakikisha unaweka mbali na chanzo
kinachoweza kusababisha joto kupanda.