Description
Medical benefits of a colon cleanse
- Improved immunity
- Better digestion and improved absorption of minerals
- Relief from constipation
- Improved concentration
- Maintains pH Balance of the bloodstream
- Increased energy
- Can be useful in the weight loss process
Directions for use
Take 2 capsules daily or as recommended by your healthcare practitioner. Natural supplements are only intended to compliment diet. Do not exceed the maximum recommended dosage.
Â
Precautions
Not suitable for use during pregnancy.
Also avoid use if you suffer from chrons disease, ulcerative colitis, appendicitis or intestinal blockages.
Not intended for long-term or frequent use.
Â
Â
Side effects
This product is safe to use within recommended doses. A very high dosage can cause severe vomiting and intestinal spasms, which is why the standard dose should not be exceeded under any circumstances.
Product specifications
- Ingredients: Cascara Sagrada, Yellow Dock Root, Rhubarb Root
- 60 Capsules
- Suitable for strict vegetarians / vegans
- Made with vegetarian capsules
- Manufactured by WFN Naturals
- Ethically sourced product
Swahili
Ondoa uchafu pamoja na sumu tumboni kwako na uboreshe mfumo wako wa mmeng’enyo wa chakula. Cascara Sagrada (Rhamnus Pursiana) ambacho ndio kiambata kikuu kwenye mchanganyiko huu maalumu kwa ajili ya kusafisha mfumo wa mmeng’enyo wa chakula, hukipa chakula urahisi wa kushuka kupitia kwenye utumbo kwa kuongeza ute ute. Cascara Sagrada kiasili ni ya kutoka America ya kusini ni
msahala ambao umekuwa ukitumika tangu kale kwa ajili ya kulainisha choo kwa watu wenye shida ya kuvimbiwa.
Faida za kiafya za kusafisha utumbo
- Inasaidia kuimairisha kinga ya mwili
- Huboresha mmeng’enyo wa chakala na pia huimarisha uwezo wa mwili kufyonza virutubisho (madini)
- Kuondoa matatizo ya kuvimbiwa
- Kuongeza utulivu
- Huondoa asidi kwenye damu
- Huimarisha nguvu
- Ni nzuri kwa watu wote wanaofikiria kupunguza uzitoKunywa vidonge viwili kila siku au kadiri ya maelekezo ya mtaalamu wako wa afya. Lengo la msingi la matumizi ya virutibisho vya asili ni kuboresha mlo. Usizidishe kiwango cha dozi kinachoshauriwa.
Tahadhari
Haishauriwi kutumiwa na wajawazito.
Madhara yanayoweza kutokea
Bidhaa hii ni salama ikitumika katika kiwango cha dozi kinachoshauriwa. Matumizi yanayozidi kiwango cha dozi kinachoshauriwa yanaweza kusababisha mtu kutapika na ama kuchanika sehemu ya ndani ya utumbo.
Uchanganuzi wa bidhaa
- Viambata: Cascara Sagrada, Yellow Dock na Rhubarb
- Vidonge 60
- Ni nzuri kwa ajili ya watu wote wanaokula vyakula jamii ya mimea pekee
- Umeundwa na Vidonge vitokanavyo na klorofili ya mimea
- Imebuniwa kwa uaminifu
- Imetengenezwa na WFN Naturals